PRESIDENT OF SINGLE MOTHERS! YAISHEEE!!!!!
Have the two of you ever visited a children court ?
Do you know the kind of parents you will meet at the children’s court . Both of you as public figures, you will be very embarrassed ,kupanga laini na wazazi hawana hata viatu . Eric siku hiyo hautaenda na security imagine
Hawa watoto nimewalea kwa mikono yangu ,wakiita watu wasiowazaa Daddy ERIC UNANISIKIA ?
@ericomondi
I got peace when I stopped chasing baby daddies ,mummy roho yangu ilikuwa inatembea nje kama mchawi ,usiku silali ,mchana sina nguvu .
Ona Sasa hii mbio inatupeleka DNA Tunasumbua mtoto na na useless trips .
Mummy yaishe !
Yaishe !Yaishe !
Mtoto ashajua babake SUPER STAR .END OF STORY
MTANIKUMBUKA
Huyu mtoto atakuja kuwa mtu Mkubwa sanaa ,na nyota mtaumia kea kumuumiza mtoto mdogo
Na mambo yenu ya hasira za peni mbili.
June I ofisini tusuluhishe maneno haya madogo.
@ericomondi you are my darling ,kai nyathi osiepna asayi
Have you met a mean lawyer who has no feelings for the child nor whatever ?
