Asanteni creative Kenyans
Facebook Drama Returns…
Matiangi Posted: On behalf of the Gusii Community, I am condemning what happened yesterday, and warning -at the same time – anybody who would try that at the burial of our long time elder and leader, Simeon Nyachae.
(Cleo Malala, Kivutha Kibwana, Amason Kingi and 763 others liked this)
James Ongwae: That was so unfortunate. We condemn such acts.
Moses Kuria: Really? Ongwae, na wewe ndo ulikataa kupeana chance kwa wamama.
Robert Alai: Kuria wacha porojo. Wamama wagani? Kwani Omanga ni Wamama? Ama matako ndo ya plural?
Moses Kuria: Naongea na wanasiasa, tafuta kitu uandike.
Didmus Baraza: Hehhe, Mose, kuja polepole, acha kufinya huyo Kijana wa Nyando.
Miguna Miguna: Must you, Clueless Baraza, bring Nyando to your useless political FARTS? Brainless pigs like you must fall. #Viva
Bonny Khalwale: Acha hasira Wuod Nyando. You are now a Canadian.
Miguna Miguna: How do you reason? When you say ‘Wuod Nyando’, you are confirming that I am from Nyando. So how comes I am a Canadian? How did you graduate from a medicine school?
Kalonzo Musyoka: Let’s stick to the content that Matiangi was talking about.
Millicent Omanga: Kalonzo, naskia Machakos ni UDA. Wiper inaisha, utabaki na MCA mmoja tu, MCA Tricky.
Babu Owino: Omanga, naskia watu walichezea papers zako za Nominations pale Kisii?
Omanga: What is the matter with you Guka? You are becoming childish.
Babu Owino: You are the matter. Matter is anything that occupies space and has weight. Ama ulidrop Physics?
Hon. Savula: Hehe, Babu ati Papers za Nominations zilidarwa jana?
Cleo Malala: Mhesh, yaani nini ndo assets? Sikuwa nimeget.
Erick Omondi: Malala, sema matako. Kwani unaogopa nani😂
Ezekiel Mutua: Erick this is not some comedy platform. Mind your language.
Akothee: Omanga, Dhi pekri kucha! Toa Tricky kwa ujinga zenu.
Ezekiel Mutua: Akothee, last warning. Language!
Akothee: Pole bas Deputy Jesus.
Maina Kamanda: Hehe, Akothee, Hio ni kali kama ile ngumi ya Arati.
Dindi Nyoro: Kamanda, don’t stoop too row.
Mutula Kilonzo Jnr. : Mhesh Nyoro ni low, row ni yule rafiki ya columns.
Governor Lonyangapuo : Hapa katawaka moto. Kama huwezani kaa na mama yako.
Sabina Chege: LOL, Kamanda umenimariza. Ati kama nini ya Arati?
Hon. Waititu: Sabina hakuskia ati wahenga walisema ‘Ajuaye uzito wa ngumi ya Arati ni Osoro aliye na kasoro.’
Oscar Sudi: Kumbe Impeachment hurudisha akili, siku hizi ata unajua wahenga?
Arati: Nani anatajataja jina langu hapa?
Didmus Baraza left…
Arati: Sasa biashara ni kuleft badala ya kuongea?
Sylvanus Osoro left…
Ole Kina: Admin, please protect members from Simba Arati.
Millicent Omanga left…
P.L.O Lumumba: Whatever is transpiring in this honorable forum is biliolique and aprofictiuos. We must not be lost in capero vale of wisdom to take a dismiendal position on such hubris.
Mohammed Ali: Ki-Ingereza sasa imepanda ndege. Nidhamu irudi.
Gov. Awiti: Lumumba, tokna Kisungu acham!
Sonko: Shenzi, onge Kiswahili ama kiingereza.
Gov. Awiti: Cham yath omera Sonko. Dong’ Koro!
Kibicho: Following.
Sonko left…
(To be Continued)
Hon Oscar Lawrence says
Hehehe… Interesting kweli kweli yawa