Dear Miguna Miguna, Habari ya huko? Huku Kenya tuko wazima. Hope hawajakufungia choo pia huko. Huku tunanganga tu. Ile Mercury ilipatikana kwa sukari, imeharibu watu vichwa na sasa wameipandisha bei imekua 150 kilo. Huko unawatusi Canadians? Juu huku sisi machinese wanatutusi tu.
Ulisikia mtoto wa Akothe alishinda Best model ya Americans na watu wanasema sii mrembo hata?. Halafu Miguna huku mahindi Siku hizi ni 30bob gallon. Bei ya petroli imepanda na ati DJ more ameijaza range rover tank. Sijui kama utaandika kitabu kuhusu hiyo?
Miguna watu walitolewa Mau Forest na wakabaki kujificha kuuana. Miguna sijui Sharon na Obado walifanyiana nini..siku hizi hatulali juu ya maneno yao…lakini kabla wafanyiane hata hatukua tunajua Sharon ni nani.. Ama wewe unamjua? Alafu huku tuko na new spider man anaitwa Barack Oduor aliacha kazi ya kureport.
Halafu huku hatutaki watu corrupt tena. Ungekua hapa walai ungeshikwa. Tena Harambee stars walishinda Ghana qualifiers lakini wakenya hawajaamini ni Ghana gani. Miguna sii Mercado alikuja Kenya kumpiga Zarika Fatuma halafu Fatuma akapewa cert sijui kama ni ya kupigwa sana. Huku pia simba wameisha…sijakuambia ngombe wa Meru wanawanyonga .
Halafu wabunge wa county assembly ya Nairobi walitoka bunge wako streets ati juu waliwekwa firifiri macho. Miguna Moses Kuria hajaacha pombe hata Jana alikua on TV kama amelewa. Miguna sii ukirudi Kenya uniletee Miwani kama zako juu sioni future huku tena juu hata Kenya ni kama imekua subcounty ya China.
Now, it is your turn to update Miguna; how about update him on Sonko impromptu visit to Pumwani maternity hospital?or Uhuru convening Jubilee parliamentary meeting Statehouse? how about DP Ruto buying 1400 goats for 10million? How about Uhuru roaming the globe only to come home with new police uniforms? how about collapsing Economy? 16% VAT on fuel , Uhuru reduicing it to 8%
bla bla bla bla bla bla bla bla bla or is it bra bra bra?
Leave a Reply