Velma Kadiori
Here is a summary of top insulting quotes by Uhuru and to who they were directed>>
He oftens says “Tushindane kwa sera si matusi” and then goes like:
1. “Kwani mimi ndio natunga sheria si ni wabunge?…Shetani”-To Nanok
2. “Alafu mjinga anasimama hapa kunitisha, ashindwe shetani kabisa…mtupigie kura, mkose kutupigia kwani dunia itaisha” -To Gov. Nanok
3. “Mtalipa…afadhali niseme ukweli, title deed mtalipa-hamkutupigia kura”-To Likoni residents/ Coasterians.
4. “Kwani Mnafikiria sisi ni wajinga aje?”-To Doctors
5. “Mademoni’-To Musalia
6. “Mjinga na Mganga’- To Peoples’ President Raila
7. ‘Magaziti ni za kufunga nyama’-To the Media
8. “Can’t Pay won’t Pay”-To teachers
9. “Tunakula nyama nyinyi mkimeza mate”-To the opposition
10. “Sasa Mnataka nifanye nini Jameni”-To kenyans
11. “Ghai! Anataka aende mpaka kwa world reserve bank ?”-To the Auditor general
Leave a Reply