Happy Easter. Mujivinjari watunguyaz na musi break law coz wazae wetu wa koti hawako works.😂😂 pic.twitter.com/YlHBo1GAnC
— Dr Willy M Mutunga (@WMutunga) March 25, 2016
@WMutunga jienjoy pia mzae ambia makarao waende easter juu tutabehave:-)
— Livono (@ThisSyllvestre) March 25, 2016
@ThisSyllvestre niko keja nasoma twitter zenu na zinanijazz, gotea wasee wa mtaani.
— Dr Willy M Mutunga (@WMutunga) March 25, 2016
@Willie_nganga @WMutunga @galwinne @Ngunu_ hehe sasawa mtu nguyaz..sitakimbiza gari raundi hii..easter ikunice pia
— Bonnie Chege (@Bonnie254) March 25, 2016
Leave a Reply