Methali za watu wa wivu…
1. Mimi siwezi buy gari na loan,
2. Huyo bwana yake ni mkubwa sana kumliko, ni pesa aliona,
3. Gari ni mabati tu!,
4. iPhones are overrated, simu ni simu tu bora inapiga,
5. Siwezi kula food ya fridge,
6. Wako na pesa na hawana amani kwa nyumba,
7. Anajifanya na hiyo masomo yake na hawezi ata pata mtu wa kumuoa,
8. Siwezi drive vitz afadhali nitembee miguu
9. Kuoa ni stress afadhali nikae single
10. Microwave inaleta cancer
11. He is driving a V8 na anaishi githurai, huyo ni driver wa mdosi.
12. Hio nguo anasema alibuy 7K na Eastleigh ni Thao! same same
13. Hiyo kazi alipata after kulala na mdosi.
14. Mimi siezi bebwa na probox. Afadhali kuenda na matatu..
15. Ata akipata degree, atakuja tu ku tarmac na sisi.
16. Kwani Mercedes iko na miguu tano? Sisi wote tutafika tu pamoja.
17. Siwezi drive gari kama sijajenga nyumba
18. Anaendanga gym daily but iyo tumbo haishangi
19. Hiyo kizungu yake unaweza fikiria amekaa States 10 years.
20. kinavaanga vizuri lakini ukiona watoto, ni kama chokoraaa
21. Akona accent na hata ndege kufika Mombasa hawajahi
22. Wataachana tu.
23. Ako na iPhone na imagine na okoa jahazi ya 20b bob
24. Ako na figure poa lakini hajui ata kujivaa
25. Huyo anaringa na ni sponsor anamsort!
26. Hao hakuna mahali wanaenda
27. Huyo vile amenenepa ni Family Planning!
28. Wataachana tu
29. By the way huyo dame si mcute. Ni weupe tu.
30. Wee unatafta dem saa zile wengine wetu tushapata third born.
What other methali za watu wenye wivu do you guys know?
Leave a Reply