*SHENG PRAYER THAT LEFT KCSE INVIGILATORS IN STITCHES*
A student from a Nairobi school was told to pray.
The following short prayer left invigilators in stitches; some were overheard asking each other what some words in the prayer meant.
Here is the sheng prayer…
“God, thanks mob kwa kutumake tukalie hizi papers. Wasee wengi tulianza chuo nao walisare.
Hii far tunasema ni wewe tu God.
Tunaomba utusaidie kukalia hizi paper bila kuingiza njeve.
Pia tunaomba tusipatane na ngori ambayo inaweza fanya tusimalize.
We ni God wa miracles, tuongoze vile uliongoza Mose mpaka akamshow Pharaoh dust.
Tukiona tume murder chuo bila noma zozote tuta kubless.
Tunajua ata unaweza make hii chuo itokelezee kwa paper.
God tusaidie kukumbuka zile vitu mob ma mode walitushow.
Ingawaje wengine walikuwa wana hata chuo, we ni God wa miracles tusaidie.
Pia forgive wale wasee walikuwa wana tuna wakati wa subjects kama Mao na wale walikuwa wanaona ma mode ni watiaji.
Round hii Matiang’i amedai ati hakuna leakage.
Wewe ni mnoma kushinda Matiang’i na leakage ile wewe unaweza kutushow ni ya ukweli.
Pia tunaombea wale wathii wanaokalia paper wakisindikizwa na magava.
Ata kama wengine waliwekelewa kuchoma chuo zao, we God tu ndio unaweza kuforgive mtu.
Waforgive na uwape michoro waweze kukalia hizi paper poa.
Ata son yako JC aliforgive wale madingo walikuwa naye kwa cross.
Pia kuna wale wanafanya exam wakiwa na ball kama Eva. Tunaomba huyo mtoi atulie na asitokelezee ama alete nuksi mpaka hii exam iishe.
Tuondolee swara zote. Tunabelieve tunawesmake na kwa hii chuo tutapata ma hustler wanoma kama kina Donald Trump na Bill Gates wa majuu.
Amen.”👏👏👏
Leave a Reply