By The Don
I will say this without contradicting myself:
UHURU NI MUOGA.
Kama yeye kweli ni ndume, akuje aongee venye anaongea kwa Mlima sio kungoja akienda western na Nyanza kuongelea wakikuyu mbaya.
Ama ndio maana aliita Radio stations Jana at statehouse? They are even broadcasting an edited Audio interview. Angekuwa Ndume, angeita mkutano Mt Kenya aongeleshe watu.
Hakuna President anaeza maliza kazi hii Kenya, Babake Uhuru alifanya hakumaliza, Moi alifanya kazi hakumaliza, Kibaki alifanya kazi na hakumaliza, Uhuru wee maliza miaka yako, nenda zako, makasiriko ya nini?
Hata Ruto hatamaliza kazi yote, what matters is what you will have achieved in your time and the legacy you will leave behind and if it will live past your tenure.
Legacy ya Uhuru itakuwa ni BBI na Makasiriko na hizi trains zinakwamakwama zikienda Nanyuki.
Anonymous says
NA MADENI.NA WIZI.